Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kane ndiyo option nzuri, hao watoto wa 20s ndiyo sitaki hata kuwasikia. Ni wachezaji wachache sana kwenye early 20s wanakuwa wamekomaa kiakili.

Kane suala la umri siyo la msingi sana ila kile atakachoongeza kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kane ni 'a complete striker' anafunga na kutengeneza nafasi: ata-partner vizuri sana na Rashford.

United mfumo wetu hauhitaji poacher, wingers wetu hawachezi kutengeneza nafasi. Tunahitaji striker atakayeweza ku-drop deep na kucheza kama namba 10 kuweza ku-create chances kwa mtu kama Rashford.

Umri na pesa isiwe kigezo cha kumkosa Kane. Hawa ndiyo watu wa kazi tunawakosa kwenye timu, baada ya Kane tunaweza sasa kutafuta kijana atakayepikwa kwa matarajio ya baada ya misimu 3 aongose safu ya ushambuliaji.
 
Kane atauzwa 100 Million 🙏.Budget yaweza kuwa 110 Milion.

Bado tunahitaji kiungo,Beki wa kulia na winger wa kulia na ikiwezekana kipa.

Kwa uchache tunahitaji five new players.
 
Kheee kumbe huyu jasusi ten hag unajua mpaka kiswahili?
 
Martial amekuja hapo Manchester hakiwa na miaka 21 tu Mpaka leo katufanyia nini cha maana ni heli tupate Kane tumtumie hata misimu mitatu au minne tu.
Huyo Kane ukimnunua leo ukitaka muuza kesho huwezi tena.
 
Unatoa 100M kununua striker atakaeumia mnarudi kwenye default settings.
 
Kane atauzwa 100 Million [emoji120].Budget yaweza kuwa 110 Milion.

Bado tunahitaji kiungo,Beki wa kulia na winger wa kulia na ikiwezekana kipa.

Kwa uchache tunahitaji five new players.
Kutoa 100M kumchukua Kane lazima kuwe na 400M nyingine pembeni ya kuziba hizo nafasi zilizobaki.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2605172
Alisema tumuuee huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muache kumlaumu kocha, katutoa mbali....na anafanya kazi kubwa tuwe bora zaidi....mm naamini akisajili tena atakuwa na sub nzur, na atafany vizuri....na aliahidi msimu wa tatu mmudai ubingwa either EPL au UEFA....TRUST THE PROCESS.
Ana maamuzi ya kijinga sn haswa upande wa sare kuna mechi km tatu sub zake zimefanya tumetoka sare.. angalia gem kama na sevilla ila tupo home rejea pia gem ya spurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…