Inafikia kipindi inabidi tumpe sifa zake 10Hag hadi hapa tulipofikia. Man utd ina ufinyu wa kikosi kiasi kwamba akikosekana mchezaji mmoja tu wa kikosi cha kwanza,timu nzima inakosa uwiano mzuri uwanja iwe kwenye beki (martinez),kiungo (casemiro) au ushambuliaji (rashford na/au Bruno).
Hii timu inahitaji wachezaji sio chini ya 8 ili mwakani mwalimu asipate shida kama hizi.