Manchester United (Red Devils) | Special Thread

goli moja tu lilikuwa la akli la saka yale mawili papatu papatu ila wakaamdamana
Kabisaaaa aiseeee, mimi hua simuelewagi kabisa shabiki yoyote wa Man Utd anaeiombea Arsenyau ichukue ubingwa.
Ego ya shabiki yoyote wa Man Utd siku zote hua ni hivi
 
Mimi nawapa dhamana Arsenal maana wao wakibeba EPL hamtaweza kuvunja record yoyote kati ya Three-peat au Treble.

Mkifanikiwa kuvunja Three-peat bado Pep itabidi afanye hivyo mara 2 kama SAF.
Arsenal?!!!!!


Mkuu kama ni arsenal ndio unaitegemea pole sana, intro tu kwanza pale etihad anakula 3 j5.

Nikiweka ushabiki pembeni,anayeweza kuwalindia rekodi yenu ni madrid tu (TREBLE) ila huku kwenye three peat utapoteza muda bure.
 
Vile vijamaa vina kelele sana, pigeni tu. 😂
 
Kama ulimtukana Dalot tema mate chini umuombe radhi Nilisema Dalot akicheza LB na Bisaka RB unaweza sema ni Ake na Akanji
 
Aaron Wan-Bissaka's 90 minutes by numbers vs. Brighton:

100% take-ons completed (4/4)
100% ground duels won (6/6)
100% tackle success (2/2)
7 x possession won
0 x dribbled past
0 fouls

Sending Dr. Dribble back to school.


 
Tunasema kila siku.

Wachezaji wa kingereza hakuna kitu.

Bora wanunuliwe kwa £10m hata wasipofanya kitu hela haiumi.
 
Tumepitia mengi siku hizi asee.
Kwa kweli maoni yangu binafsi mchezaji pekee ambaye nikimuona anaingia Walau ninapata ahueni ni Wan Bissaka alafu unakuta eti wanawaza kumuuza.


Wan Bissaka abaki tu, kuna mechi maalumu amazo ni zake, hasa mechi ambayo timu pinzani mchezaji wap hatari anatokea kuria.


Refer Newcastle Saint Maximin, Brighton Mitoma, na timu zinazotegemea winga kujenga mashambulizi.

Kitu ambacho siafiki kabisa ni Rashford kukaa kati hasa tukiwa 0-0 au tukiwa tumetanguliwa, yaani tunakua ndio basi tena hakuna spark tena.

Mfano Jana, na Mechi ya Liverpool. Tunawachezaji wabovu ndio ila kuna wengine wanajitahidi, mfano jana Martial kua kati alijitahidi kukaba tukawa tunawapokonya mipira Rashford akikaa kati ni majanga.

Tatizo lingine ni kocha inamaana hapitii video aone mbele kuna ubnafsi wa hali ya juu na kukosa ukatili kabisa.
Anthony anawaza kufumua shuti tu.
Kocha anatakiwa kuwa mkali asee. Tunarudi kule kule kwa Ole.

Naamini Anthony angekua anawaza kuassisst kelele juu yake zingezim maana angesaidia sana.

Mwisho inabidi timu isafishe MAGUIRE kwa hali yoyote, Kina Elanga, na wajinga wengine.

Msimu ujao kuwe na sura mpya zenye passion ya Licha.
 
Eric ten hag kabla hajawa jasusi la Dutch government aliwai kuwa mnajimu wa mambo ya kinyota hajui chochote kuhusu mpira
 

World war III duuuh bora wasibebe kombe
 
Naam,nakubaliana na mdau buffalo44 kuwa Wanbisaka ana mechi zake pindi timu pinzani ikiwa na winga mwenye makeke mengi kama Mitoma. Jana amemzima yule mjapani hadi akaonekana kama Saka tu.
Pale kwenye ulinzi wa kati tuendelee na combination ya Lindelof na Shaw angalau kunapatikana utulivu kuliko boss Maguire.
 
Tottenham wana jambo lao .nyumbu mta juta kiama kina washukia hii week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…