Manchester United (Red Devils) | Special Thread

uzuri n kwamba mmefurahia kudroo na Brighton ili mkacheze na man city fainali mpigwe goli za aibu tena kabla ya msimu kuisha[emoji3][emoji23][emoji23]
 
Angekuja brighton tungekua tunawaza ila mmekuja nyie mizembe nyanya, FA cup imeshakwenda hiyo, term hii hakutakua na zile mbeleko mlizopata mechi iliyopita.
 
Hivi ndio nyie ambao juzi wahuni wa Sevilla waliwakojolea mikojo MITATU au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio Timu hii ambayo juzi tu wahuni wa Sevilla walimaliza Paketi nzima ya DUME Condom kwenu kwa mikojo MITATU mubashara??[emoji1787][emoji1787]kama ndio basi hakika Binadamu tumeumbwa kusahau mapema sana[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…