Kuna watu walikuwa wanasema EtH ni kocha wa kawaida tu kwasababu ligi aliyotoka kocha yoyote akipewa Ajax anabeba ligi.
Leo Ajax wanapokea kipigo kizito kutoka kwa PSV na huenda wakakosa Champions League msimu ujao.
Hiyo ni tofauti ya mwaka mmoja tu tayari Ajax wamepoteana.