Hii game imetoa picha aina ya wachezaji tulionao yaani wachezaji wa akiba ni kama hawana uwezo au hawana morali ya kucheza yaani hata Cardiff utd hawapati number. Martial, Lindelof Maguire na Sancho hawa waondoke tu aisee, kwangu mimi Weighorst ni bora awe anaanza hata kama hafungi huwa analeta balance kwenye timu kuliko mzembe Martial na Sancho.