Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa jamaa wameenda mapenati, hii inamaana dstv wataonesha mechi ya man u kipindi cha pili
 
Magwaya anabebwa sana kwasababu ni muingereza ila huy jamaa hastahili kuwepo hata kwenye kikos bora apumzishwe kama jones ambae hajulikan Yuko wapi
Uyo jamaa yenu hamalizagi mkataba maana toka enzi sa ferg yupo tu..na achezi ana kwa mkopo[emoji81][emoji81]
 
Ooh kumbe bwana hamis na new ID[emoji16][emoji16][emoji16]
@hamis77 pamoja na ushabiki wake wa kuiponda Man utd lakini hawezi kufikia upuuzi wa huyu jamaa.
Hamis ni mtu anaujua mpira na ushabiki wa utani katika ushindani, lakini hata siku moja huwezi kumkuta ametukana matusi machafu yenye kumvunjia hata yeye mwenyewe heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…