Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial out kwamba ndo tumemaliza game??
Makubwa
Tunaongoza 2 - 0. Martial kuendelea kubaki uwanjani ni risk sana. Huyo ndiyo tegemezi baada ya Rashford kuumia.

Jumapili tuna mechi tena na tupo kwenye top 4 race, ni muhimu kocha kulinda wachezaji wake.
 
Kila kitu kulalamikia striker wakati wangese wanashindwa kufanya vitu basic tu.

Antony toa pasi kmke, ana-force mambo wakati Bruno alikuwa na nafasi. Malacia anatetemeka miguu tu.

Bruno 2nd leg hayupo, Martinez kaumia, Rashford kaumia. Daaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…