verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,156
- 6,272
Niliahidi na ninaendelea kutimizaNaomba pia kuchukua nafasi ya ndugu ARV
Hapo unaweza kuona title contender ana GD ya 6 wakati Top four contenders wana 43+
Ukinuna uwe na sababu View attachment 2573345
Huyu kufukuzwa had msimu ujao ,hapo mshamuongeza mkataba wa miaka mitatuBado hajafukuzwa tu?
Mkeka rasmi huu hapa
We utakua na chuki tu na ten HaagHuyu kufukuzwa had msimu ujao ,hapo mshamuongeza mkataba wa miaka mitatu
Bado natafuta mtu wa kunionyesha utofaut kimbinu ,Kati ya Ten hag na ole Guna
Kuna mstari mwembamba Sana Kati ya manjesta ya 7 hag na ole Guna
Ndio kaka [emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mechi ngumu ndiyo huwa tunafanya vizuri.
Peponi moja kwa mojaTukiweka ushabiki pembeni siioni manjesta ya kumfunga Newcastle yenye Kiungo Bruno Guimares , Winga Saint Maximin , Alexender Isack ,kipa Nick pope
Na wale mabeki wao warefu
Bado sioni Mkipona leo ,japo mpira muda mwingine una maajabu yake
Prediction
Newcastle 2 manjesta 0
Ongezea na sancho anacheza kama kamalizaKipara atakaporuhusu kupewa mikataba wachezaji hawa wafuatao nitakuwa wa kwanza kumpinga japokuwa maandishi yangu hayatokuwa na nguvu yeyote
Tayari tumeshafanya kosa la kumpatia mkataba luke shaw.
- Scott mctominay
- Fred
- Werghost
- Sabitzer
- Diogo dalot
- Wan bissaka
Naendelea kumheshimu david de gea, kwa sababu kuna nyakati tulimpotezea ndoto yake ila si kwa sababu ya uwezo wake.
Kaka mkubwa mpira ni mchezo rahisi sana ndio maana guardiola anakula hela za wazembeArsenal wanavyoshindaga mnaonaga mpira raisiiiiiiiii ππππ
Yamekuwa haya tena.Weghorst ni mzigo kule mbele
Dalot hamna anachoweza.
Sancho sijui tutampeleka wapi..