Sijaitumia mda kuna update mpya? Uki update kawaida matangazo yanarudiChief-Mkwawa samahani mkuu ... Ile Apk ya Live football HD uliyoituma hapa ikitaka update unafanyaje?
Hata Mckenna anaweza akabeba league 1, wapo nafasi ya 3 na point 2 kutoka kileleni huku wakiwa na mechi mkononi.Wueh! Michael Carrick namuona akiwapandisha daraja Middlesbrough msimu huu. Nakumbuka kipindi anapewa timu walikuwa mkiani kabisa wakiwa wamecheza michezo 16 na kupata 17 ila sasa hivi alama 70 tayari, alama moja tu nyuma ya Sheffield United aliye nafasi ya pili. Japokuwa wote wapo uwanjani mpaka muda huu.
Mkuu naomba unisaidie link ya app au app nidownload kwenye pc kwa ajili ya kuangalia mpira.Sijaitumia mda kuna update mpya? Uki update kawaida matangazo yanarudi
Kwenye pc si unatumia tu website? Otherwise kama una windows 11 unaweza tumia app za android ama ukadownload emulator.Mkuu naomba unisaidie link ya app au app nidownload kwenye pc kwa ajili ya kuangalia mpira.
Mkuu yes kuna update mpya, hapo kifanyike nini?Sijaitumia mda kuna update mpya? Uki update kawaida matangazo yanarudi
Yes update inahitajika na ni bonge la app Chief-Mkwawa .... Nifanyaje mkuu.Mkuu yes kuna update mpya, hapo kifanyike nini?
Nimeupdate takribani mwezi mmoja nyuma.Yes update inahitajika na ni bonge la app Chief-Mkwawa .... Nifanyaje mkuu.View attachment 2573583
Mechi mbili dhidi ya newcastle united na crystal palace zilitosha kuwaondoa arsenal kwenye mbio za top 4, hawa wapumbavu wa tottenham kumbe wametukalia vibaya namna hiyo.Naomba pia kuchukua nafasi ya ndugu ARV
Hapo unaweza kuona title contender ana GD ya 6 wakati Top four contenders wana 43+
Ukinuna uwe na sababu