Chelkenge na hao vijana mbona Bora Spurs ya wazeeTottenham Wazee wengi sana kuliko Vijana l, wasafishe walete makinda kama ilivyofanya Chelsea FC la sivyo Kocha hata akiwa Malaika bado tu hawatachukua vikombe zaidi ya kumfukuza tu.
Manjesta [emoji777]Tusidanganyanye, hakuna mashabiki wasiopenda mpira mzuri
Hakuna mashabiki wanaopenda muda wote kubana mapumb*
Yaani unataka kusema Kuna mashabiki wanapenda muda wote timu Yao kupumuliwa?
Kuna shabiki wa Manjesta humu alinidanganya anapenda mpira wa kupumuliwa na kuvizia kaunta
Walipocheza na Spurs ya Conte ,Kama kawaida Conte akapaki Basi, Manjesta wali flow Sana walipiga Soka Safi ile mechi
Kuja humu na Twitter wanafurahia soka Safi na kusifu kwa mapambio
Chelsea FC wameshatengeneza football chemistry kwa muda gani wakiwa na wachezaji wapya makinda tangu wasajiliwe katika klabu ya Chelsea?Chelkenge na hao vijana mbona Bora Spurs ya wazee
Si wamekubutueni 2-0 juzi juzi hapa
Vijana wenyewe hawa kina muddy?View attachment 2567490
Wapi nimesema filosofi ya barcelona?Manjesta [emoji777]
Manchesta [emoji736]
Pia tusipangiane namna ya kupenda vitu, tangu lini kumiliki mpira ndiyo kuwa na uhakika wa matokeo chanya 100%?
Unajua filosofi za uchezaji football katika vilabu mbali mbali duniani ziko tofauti kabisa?
Yani filosofi ya soka la Barcelona ulilazimishe kuchezwa na kuzoeleka Real Madrid, hivi kweli unaelewa unachokitetea?
Chelkenge toka msimu unaanza mmesajili January mkasajili, Cha ajabu hatuoni Chemistry Wala BiologyChelsea FC wameshatengeneza football chemistry kwa muda gani wakiwa na wachezaji wapya makinda tangu wasajiliwe katika klabu ya Chelsea?
Upeo wako unaleta mashaka sana, inamaana Everton walivyokushushia kipondo kitakatifu 1-0 Arsepimbi 04/02/2023 ndiyo imekuwa timu bora kabisa EPL kuliko Arsepimbi?
Nina wasiwasi na dishi lako(brain capacity)...[emoji16]
We nani hadi utusemee sisi Mashabiki wa Chelsea FC kuwa hatufurahii filosofi ya soka letu la Chelsea FC?Wapi nimesema filosofi ya barcelona?
Brighton ,Napoli wanacheza filosofi ya barcelona?
Unaielewa modern football kweli wewe mshabiki wa chelkenge?
Unataka kusema lile pira magimbi la Potter mnalifurahia?
View attachment 2567579
Kweli Taahira hajawahi kujitambua kabisa, Chelsea FC haina Kocha ila Wachezaji tu wamejaa tele wenye vipaji mnaowatamani sana Arsepimbi lakini tatizo ni chapaa tu, pambana na hali yako Arse8 [emoji1787]Chelkenge toka msimu unaanza mmesajili January mkasajili, Cha ajabu hatuoni Chemistry Wala Biology
Kikosi Cha €500m unataka chemistry ya wapi?
Msimu unaisha huu bado mnasaka biology na chemistry?
Pale timu huna ,kocha huna
Spurs kakubomoa na wazee wake na yupo kugombea top 4 , wewe unagombea usishuke daraja
Unafananishaje huu mfano na Everton kumfunga Arsenal
Naona umepaniki sana, Najua mna stress sanaWe nani hadi utusemee sisi Mashabiki wa Chelsea FC kuwa hatufurahii filosofi ya soka letu la Chelsea FC?
Mbona pira hilo hilo chini ya Thomas Tuchel tulitwaa nalo ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE mbele ya pira biriani la Mwa-City, UEFA SUPER CUP na WORLD CLUB CUP?
Vipi Arsepimbi mmetwa kombe gani kati ya hayo makombe niliyoorodhesha hapo chini ya TT kwa pira la kaunta ataki?
Umekosa hoja umeanza matusi ,naona ushapaniki ,Najua una stressKweli Taahira hajawahi kujitambua kabisa, Chelsea FC haina Kocha ila Wachezaji tu wamejaa tele wenye vipaji mnaowatamani sana Arsepimbi lakini tatizo ni chapaa tu, pambana na hali yako Arse8 [emoji1787]
Asante kwa kunielewa.Umekosa hoja umeanza matusi ,naona ushapaniki ,Najua una stress
Rudia kusoma vizuri hoja zilivyopangiliwa ndipo uone ulichonijibu kimeendana na hoja zangu au hakijaendana nazo?Naona umepaniki sana, Najua mna stress sana
Ngoja nikuache usije kujiua bure