Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chris Kamara: "I can exclusively reveal that I told Jose Mourinho to take him [Virgil van Dijk] to #mufc and Jose said, 'These lot won't give me the money for him.' Yeah, and he went to Liverpool." [BBC]
 
Zilliacus anapendekeza kila shabiki atoe USD 3, na wote tukifanya hivyo mashabiki tutamiliki klabu kwa 50%

Hakafafanua baada ya kununua klabu nani atabeba jukumu la kulipa deni la klabu, kutoa fedha za usajili na kuendeleza miundombinu ikiwemo kiwanja cha OT
 
Mbona Chief-Mkwawa kakuelekeza mara nyingi hapa kuwa wale vipara hela wanachota sio zao wale wameifanya timu kuwa na madeni ya kutisha kwa upumbavu wao.

Hatuwataki wale vipara sababu hawajai kutoa hela zao za mfukoni kununua mchezaji wanatoa faida ya kwenye club ndo wananunulia wachezaji.
 
Huu ndo ukweli hawajawahi hata kutoa 100 ya usajili, kifupi sisi hapa jukwaani tumetoa hela nyingi za usajili kuliko Glazzer.

Na usajili ulifanywa kwa lengo la biashara na sio ku improve team. Toka maamuzi ya Usajili yahamie Carrington tunaona sasa hivi usajili unafanywa kuziba mapengo.

Pia hao jamaa hawajafanya improvement kubwa yoyote ile ya nje ya uwanja kuanzia viwanja vya mazoezi, Old trafford, Academies etc vyote sio vya kisasa kama wapinzani wetu.
 
Kwani Arteta na Ten Hag nani ana profile kubwa ?
 
Nakazia kuwa tangu 2012 Sir Alex Ferguson astaafu ukocha bado Man Utd haijafanikiwa kubeba EPL na UEFA champions league lakini bado ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kuzidiwa na timu yoyote kwa kuwa na Mashabiki wengi zaidi, na hata kwenye top 5 kiuchumi duniani.

Hamis77 anapaswa kuwa na adabu asijipitishe pitishe tu kwa miamba bila ridhaa yenu wenye uzi wenu Man Utd Fans.
 
Kwan Arsenal hatuna fan base sijakuelewa hojà yako

Zlatan aliwahi kusema alikuwa anasikia mitandaon Manjesta Ni klabu kubwa

Ila alipofika pale aligundua Ni klabu yenye mentality ya timu ndogo
 
Manjesta Kama inataka kupiga hatua na kuacha kumlaumu Graza ,Ni kuachana na wachezaji Kama Sancho wenye viwango duni

Tunakumbushana hapa Nicolas Pépe ameonekana Bora kushinda huyu Sancho lakini Media na mashabiki wa Manjesta wanawaaminisha watu ujinga

Mchezaji Kama Sancho pale Arsenal hakai hata benchi ,maana Pepe Ni zaidi ya Sancho
...
 
Sir Jim Komaa Komaa Timu Tunachukua Hiyo.

NB;Unaambiwa Jiji La Manchester Ni Picha Zake Tu,Amekuw Kipenz Cha Mashabik Wa Manchester United Katik Viunga Vya Jiji Hilo

Apewe Timu Tu
 
Sir Jim Komaa Komaa Timu Tunachukua Hiyo.

NB;Unaambiwa Jiji La Manchester Ni Picha Zake Tu,Amekuw Kipenz Cha Mashabik Wa Manchester United Katik Viunga Vya Jiji Hilo

Apewe Timu TuView attachment 2563716
Nasikia pia wengi WA mashabiki wa united tofauti na Uingereza ikiwemo huku Africa ndo wanaotaka timu apewe muarabu...lkn wa palepale uingereza wenyewe wanamtaka muingereza man u supporter mwenzao ...cjui story za vijiweni


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…