Glory hunter humu wapo kibao. Plastic fans.Hakuna siku uliowahi ongea la maana kuhusu Ten Hag.
Anaekufahamu hashangai.
Glory Hunter.
Mo Dewji wa UK kumbe leo ilikuwa zamu yake?..Go home old man. Mpaka sasa kuna positive feelings Glazers wanaachia timu.
Mwarabu apewe timu.
View attachment 2555157
wametupa sasaNapenda watupe wa Spain wengine hata Sevilla timu za Spain zimetutesa sana misimu iliyopita.
Nao tupo na wa spain mpaka tunabeba kombe.View attachment 2555354
Real Madrid hafiki hata nusu msimu huu.Tukichukua ndoo,,, afu tunamsubiri kaka yao Real Madrid kwenye UEFA SUPER CUP nae tunampiga hapo tunakuwa tumemalizana na wa Spain [emoji23][emoji23]