[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi umeonaa mpira wanaoupigaa hawa madogoo au unajiongeleshaaa tuHuyu kocha vipi, tuna aggregate ya 4-1 bado anapanga full mziki, wachezaji wachanga/wabenchi watacheza lini sasa.View attachment 2554094
Mmmh hawa madogo bora tulishawapigaa nyingi maana leo pagumu hapaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi umeonaa mpira wanaoupigaa hawa madogoo au unajiongeleshaaa tu
Sio poa aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kuna mtu anakwambia leo wangecheza watoto seriously anahisi ni futuhi Cup [emoji23][emoji23]
Kabisaaa hadi sasa big chance 3 tumekoswaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna ajualo ni alimradi asikose cha kuandika
Nyumbu nyumbu nyumba nme waita mala 3 nataka goli 2 tu kwenye match yenu
Hivi man walikatoa wapi haka ka Pelistri hakajui kitu
Rashford sijui kala maharage ya wapi
Pelistri sijui kala maharage ya wapi
Casemiro sijui kala maharage ya wapi
Weghost sijui kala maharahe ya wapi
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Tushukuru ushindi wa mechi ya kwanza
hii mechi ishakuwa ngumu
Maguire....leo kaupiga sana. Jamaa linajua sana ndio maana PSG wanamtaka sana.