Toka nimuone Casemiro aanze kucheza mpira amepewa red card mbili na zote amezipatia Man U…..
1 ya uzembe dhidi ya C. Palace
2 ya bahati mbaya ya Southampton
Toka nimuone Casemiro aanze kucheza mpira amepewa red card mbili na zote amezipatia Man U…..
1 ya uzembe dhidi ya C. Palace
2 ya bahati mbaya ya Southampton
Ubora wake tuna uona kosa moja halifanyi tumuone mzito wakati Liverkuku yote hamna defensive midfielder km Casemiro
Mpk ss unajua anagoli ngapi na assist ngapi ? Think before u writing