Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?
Ubora wake tuna uona kosa moja halifanyi tumuone mzito wakati Liverkuku yote hamna defensive midfielder km Casemiro
Mpk ss unajua anagoli ngapi na assist ngapi ? Think before u writing
Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?
Watoto wengine unatakiwa uwapuuzie wajiongeleshe wenyewe, inasaidia sana kuwajenga watu wajue lugha za kutumia kwenye majukwaa kama haya yenye watu waliostaharabika.