Nilijua wahuni mushamaliza kuomboleza kumbe bado?
Kuna timu lishawahi kupigwa 8 lakini yaliisha, ila hii ya 7 imekua kama kafa Rais wa inchi, maombolezo week nzima.
Nimekuja kutoa turubahi na kukunja majamvi kuashiria msiba umekwesha.
Tunawashukuru majirani kwa kuja kutughani kama wafiwa, kilicho baki rudini majumbani kwenu na maisha yaendelee.
Pia mimi sikuona chakuogopesha ile mechi ety mpaka tushindwe kutamba kuwa tunaenda kushinda, uoga ungetokea wapi na tulikuwa tumetoka kumpiga mara 2 mfululizo na ukiangalia mwenendo wetu ki matokeo ni mwendo wa kugawa dozi tu.
Yani ambacho nimegundua nikuwa hawana chakusema ili sentensi zao ziwe na ujazo mpaka wajazilize neno MLIDHARAU MECHI.