Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah walilinda pride anyway tumejifunza
 
Upo sahihi Sana aisee

Respect
 
 
Kuna a lot of stats zinaonyesha kabisa manyua Hana tofauti kiuchezaji na timu za mikiani

Ila form ya Rashford , harakati za Degea ndio zinawaweka mjini

Ndio maana kwa mpira wenu wa janja janja hamuwezi kuthubutu kusajili Sweeper GK , mtabaki na Degea tu

Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:

Arsenal vs Bournemouth - 78
Arsenal vs Man Utd - 64
Man City vs Brentford - 62
Arsenal vs Nottingham Forest - 59
Man City vs Southampton - 56
 
Mpira wa janja janja hauna maisha marefu , Conte ameshatupa taulo msimu ujao anasepa Spurs

Mourinho alishakimbia

Kuanzia 2016 EPL imebadilika ,Kama huwezi kumiliki mpira unategemea janja janja Utaumbuka tu
 
View attachment 2539825
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Salamaaa?
Eti wanajikuta wako serious hawataki kupumzika😂😂

Sasa hata mkipanic eti msipumzike haibadilishi kitu, rungu 7 zimeingia.

Halafu huyu kocha wenu mwenye kichwa kama embe kauli zake za jeuri ndio zinamponza.. Pep Guardiola ana misimu mingi EPL kuliko yeye lakini anapaheshimu pale Anfield.

Yeye anaongea kwenye press km mlevi vile!
 
Wenye matumain na ten hag atawafikisha nchi ya ahad ,siwaelewi
Kama waarabu wakiinunua timu na wakampa hela ya kutosha kumfanya awe na wachezaji angalau wawili katika kila nafasi wa kiwango cha juu anaweza kufika mahala fulani... Ni kocha mzuri ila ila alilewa sifa baada ya performance nzuri katika mechi kadhaa na hasa baada ya kuchukua kikombe. Kuanzia sasa akili itamkaa sawa
 
Waarabu wapi na wewe.. lini umesikia Glazzers wanataka kuuza sehemu yao ya kupatia ugali.

Kwanza hawakutoa pesa yao mfukoni kuinunua. Club inajiendesha yenyewe kwa madeni. Jamaa hawatoi jasho.

Mwarabu pekee ataewamiliki ni Mo Salah😂😂
 
Grazzer wamekuwa wanatoa pesa ila watumiaji ndio wajinga , najiuliza hata akija huyo mwarabu kipi kipya ataleta ? Labda kuboresha miundombinu ,ila swala la pesa la usajili mnadanganyana tu ,takwimu zinasema Grazzer wametoa pesa inayokaribiana na ya matajiri wa mancity


Mfano dirisha kubwa huyo Ten hag kapewa €250m kachukua €100m kamnunua Anthony , yule malacia kamnunua lakini kafeli kuingia kikos Cha Kwanza

Kwahiyo Grazzer muwalaumu kwenye kutojenga miundombinu ila sio kwenye usajili
 
"Kama"...
 
Huyo Anthony naye alichomzidi Daniel James waliomuacha NI kipi? Au Labda kuzunguka na mpira Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…