Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuliingia CHA kike
 
Kwamba wewe ni kocha kumzidi ten hag anayekaa na wachezaji Muda wote


Leo Rashid kapewa adhabu ya kusafisha vyoo pale kalingitoni unalijua hilo

C'mon
 
.....
 
Fegi alisema Rashford sio straiker tunahitaji straiker.
 
View attachment 2539117
Jamaa sijui anajiona nani.. ni unprofessional kuongea kauli kama hizo.

Maneno hayo ilitakiwa aongee shabiki na sio kocha.
Wala hajakosea, tena kaongea bila disrespect yoyote kwa club ya Liverpool ila mtazamo wake alipoulizwa kuhusu kucheza Anfield ndiyo huo.

Kama tusingefungwa jana wala usingeleta hii.
 
Msimu wa dirisha la usajili sura hizi zipatikanaje Man United.
1 Goalkeeper Diego Costa.

2. Fullbacks

LB David Raum
RB Robin Gossens

3. Centre back

Joško Gvardiol

4. Midfield,
Nicolo Barella/ Alexis Macllister/ Joao Palinha.

5 Striker
Osimhen au Harry Kane.

Vinginevyo bado safari yetu ni ndefu sana.
 
Kipigo cha jana kinatosha kutufahamisha kuwa sisi mashabiki wa United hatupaswi kutembelea majukwaa ya timu zingine kuzicheka zinapofungwa ilihali sisi msimu huu ndiyo tuliopokea vipigo vizito vizito kuliko timu zote.

Hakuna timu nyingine epl iliyofungwa goli 17 katika mechi tatu tu.
 

Mna sajili team nzima?
Liva inahitaji wachezaji wanne tu
RB kumpa challenge Trent,hapo atakuja Benjamin Heirinch wa Leipzig
Nahitaji beki wa kati kijana kucheza na Konate baadae,hapo atakuja Gvadiol wa Leipzig
Nahitaji mido 2 za maana sana hapo anakuja Belligham wa Dortmond na James Ward Prowse wa Southampton

Nakupiga 9-0 Sept
 
hii gemu ilimuhitaji malacia, AWB na sabtzer



Anyway me bado nipo na Turst the process GGMU
Wakongwe kina Scholes wanasema enzi zao chini ya SAF walikua wakienda ugenini kwenye mechi kubwa wanacheza 4-5-1, lazima uheshimu timu kubwa huwezi force kwenda nao toe to toe. Wanaosema fatigue sikubaliani nao, shida ni choice of players na formation
 
Kocha huyu tangu akiwa ajax, anapenda sana kushambulia. Na ndiyo maana uliona jana badala ya kuwa na nidhamu ya ulinzi akafunguka kujaribu kurudisha magoli - zahama za counter attack zikamkuta. Klopp alijua kuwa second half atafunguka tu. Poleni sana, ndiyo mpira wa miguu ulivyo. Mlivyompiga mtu 8 nae aliumia lakini maisha yakaendelea.
 
Tumeshapoa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…