Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hwa wachezaji man utd kma awana nguvu mipira yte ya kutumia nguvu wanashindwa . Mechi 12 man utd 10 stoke 0 draw 1.
 
Hii mijamaa inajua kupaki basi kama Chelskis....

Acha bwana hawa jamaa wanawakimbiza, hakuna cha kupaki basi wala Bajaj. Kila mara tunawaona wanamiminika langoni mwenu. Huku sio kupaki basi labda iwe staili mpya. Ila haya majeruhi yatazidi kuwakosti ligi inavyoendelea. Ki banter zaidi long it may continue
 
Asilimia 70 ya pasi za carrick anarudisha nyuma na asilimia 30 zilizobaki anazopeleka mbele asilimia 60 anapiga pasi mkaa(hapa nazungumzia kabla hajarudishwa nyuma kucheza role ya central defender)
 
Hwa wachezaji man utd kma awana nguvu mipira yte ya kutumia nguvu wanashindwa . Mechi 12 man utd 10 stoke 0 draw 1.
 
Hii game imekuwa ngumu sasa...nafasi ya kufanya sub sasa ni moja tu...RvP hawezi kucheza hadi dakika 90...
DM inabidi aumize kichwa kweli...maana hii gemu ni ya kushinda...kama Everton na Spurs wakipigwa (hadi HT wote wapo nyuma kwa goli 1), kushinda ni muhimu sana...

Twende sasa #ManUnited
 
You have second half Red Devils, you can still do it. Go back to the Big4, English football need u in the Champions League next season
 
Poa tuu rubaman ninaangalia chama langu ila majeruhi wanazidi kuwa wengi tuu .. ila nina uhakika mpira ukiisha watu watasema man utd walikuwa wanacheza na tawi lao

Mwaka huu mkubali yaishe... Kila mwaka majeruhi yanakuwaga mengi kwetu lakini tunajikongoja hadi CL, tusubiri tuone mtakapoishia
 

Mkuu kocha bado tatizo Sana, anashindwa kufanya sub za naana inabidi Van Persie, Rooney na Mata waoneshe Tu uwezo wao binafsi mimi sikubaliani na mfumo wa kutumia winga mmoja then unajaza forward Kati wengi ukiwa huna kiungo mkabaji wa maana na hata beki huna
 
Hwa wachezaji man utd kma awana nguvu mipira yte ya kutumia nguvu wanashindwa . Mechi 12 man utd 10 stoke 0 draw 1.
 

nashkurumu mkuu kwa kuliona hilo my cheerful thanks goes to rvp.
 

Nina na mashaka na Carrick pia anacheza kwa uoga sana na hawezi kupiga mpira kwa nguvu akiumia ni janga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…