[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaambiwa Wiki Nzima Hii Mohammed Salah Amegoma Kwenda Nyumban Yeye Ni Mazoez Na Kufanya Ibada Anfield Imewalazim Polis Waje Wamtoe Uwanjan Na Kumpelek Nyumban.
Polisi Wamemkuta Akifanya Mazoez Huku Analia [emoji102]View attachment 2537705
Utabishiwa nakutukanwaHuyo Antony hakuna mchezaji pale, ziel Mil 100 mmepigwa asubuhi kweupe
Kwani mmewapiga ngapi?Leo tutawapiga kama Ngoma na mtueleze mnapambania top 6 au top 10?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Numbiii[emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Numbiii[emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila lembu nakwambiaga ,manyua wanacheza mpira wa janja janja tu wakitegemea turnover za timu pinzani ,hata stats zinasema hawana tofauti na middle table teamsHivi kule juu mlifikaje?
Au ndio hongo mnatoa?
Hakuna timu ya top 4 hapo, mlistahili mrudi tu no. 7