Manchester United (Red Devils) | Special Thread

View attachment 2535228
Kocha mkuu steve McLaren akiwa na msaidizi wake erik ten hag

View attachment 2535230
Kocha mkuu erik ten hag akiwa na msaidizi wake steve McLaren
Somo zuri sana hili la managerial skills,inaonesha wenzetu wanaangalia zaidi output kuliko position. I am not suprised RUI FARAI na Maurinho walifuatana kila mahali na RUI alipenda zaid kuwa assistant.

EtH anamkusanyiko wa skills nyingi sana. Makocha wote wataanza kumkimbia.
 
#MUFC have won 30 of their 41 games in all competitions this season. It was only in 2006-07 and 2012-13 (after 40 games in both cases) that the club reached this total faster.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
David de Gea nominated for Premier League Save of the Month award for February


𝕍𝕆𝕋𝔼


#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Naona watu wengi wameingia upepo kwa game ya Jumapili...Ni Anfield ndio lakini uwezo wa kuwapiga Liverpool tunao mzuri tu.

Liverpool watacheza kama ni fainali yao..EtH awaandae vijana vizuri tuwapige hawa majogoo.

=====
My Starting XI vs Liverpool
=====

DeGea

AWB Varane Martinez Shaw

Fred Casemiro

Fernandes Werghost Garnacho

Rashford

=======
 
ze-dudu muarabu apewe timu kabla ya MAY

Sir Jim Ratcliffe’s bid for #mufc is not prepared to match the offer of Sheikh Jassim’s bid to clear the club’s debt.
[@AdamCrafton_]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…