Kila siku nasema huyu kocha ni mjinga, anatucheleweshea ushindi wa mapema. Weka full mziki tushinde mapema!!!!!! Huyo DALOT amefata nini hapo? Kuna mtu anaitwa SAINT MAXIMA atamtesa sana, tena anaweza kupigwa kadi ya mapema.
Kila watu wana tabia kulingana na jamii watokayo. Kiujumla Waingereza ni watu wa swaga. Ndiyo maana hata ligi yao ni maarufu licha ya kutokuwa bora but are making big business out of it