Rooney ilitakiwa nae aanze
Moyes anampendea nini Giggs.
ha ha ha!! Ngoja tusubiri.Arifu, kipindi cha pili DM akifanya hivi:
Giggs nje, Rooney ndani....
Young nje, Januzaj ndani....
Basi hawa Cardiff watakula goli si chini ya 4....
Goons wapo nyuma kwa goli 1....pale Anfield Everton wako nyuma kwa goli 3....