Hayo ni maoni yako..mpira wa kisasa lazima uanzishie mashambulizi nyumba (jitahidi uwe unaangalia mechi nyingi nyingi za timu tofauti tofauti utaelewa). Mipira ya kupiga hovyo mbele ni hatari sana ukitua kwa adui na spidi ya wachezaji sekunde moja wamefika golini kwako. Lazima mipira ianze nyuma ili kuwavuta wapinzani ili rashford, whergost na garnacho na wengine waweze kufungua vyumba (yaani wapate nafasi) MIPIRA YA KUPIGA MBELE NI MIGUMU KWANI KILA MTU ANAKUWA AMEKABWA NA ADUI HUWEZI KUPATA MTU YUKO FREE UMPIGIE.