Hapo itakua poa tupoteze game moja tu ya ugenini na barca kwa utofauti wa goal 1 tu halafu tushinde zinazobaki kwa goal nyingiHii hatari angalau tukishinda 3 out of 4 itakuwa vema zaidi.View attachment 2515865
Casemiro atakuwepo mzee card yake ina fanya kazi kwenye mashindano ndani ya England tu.Kazi ipo na mwamba anaubonda haswa napenda anavyofosi kupiga mashuti golini...kwaio hii game ya barca tusitarajie makubwa kwani tuko na hali ya hatari kidogo
No Ericksen
No Case
No Sabi
Mmh tusitarajie makubwa waisa kwa barca hii inayofosi magoli
Arsenal atapoteza mechi zote na Man City.
De Jong hatakiwi kusajiliwa United chezaji la kubembeleza kama demu la kishua hayafai.Ajax kama wanahisi tumewapunja pesa kwa EtH na Martinez wakate kwenye pesa ya Antony.
Hatujapigwa wazee, sisi ndiyo tumewapiga Ajax. Next summer turudi tena Amsterdam kuna watu wetu pale. [emoji16]
de Jong usajili wake tunamaliza tukienda Camp Nou.
Game na Barca na hiyo ya New Castle ukipigwa unapoteza kombe.Itabidi tuwe kwenye ubora wa aina yake ili kukimaliza hiki kisiki salama..
Weghorst alifanya kila kitu muhimu second half hasa alipocheza kama second striker.Nimefurahi sana FRED kuwa Man of the Match. Jamaa anaupiga sana.
Mchezaji mpiganaji ndio tunamuhitaji.De Jong hatakiwi kusajiliwa United chezaji la kubembeleza kama demu la kishua hayafai.
Ferguson aliachana Sneider kwa sababu hizi za kubembeleza ndiyo ukawa mwisho wa career yake.
Hakuna kitu mwamba alikuwa Fred tuMarcel Sabitzer vs. Leeds [match rank]:
100% tackles won [[emoji1628]]
13/13 final third passes [[emoji1628]]
2 interceptions [[emoji1628]]
The engine in midfield.
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2515594
Uzuri mwingine pia Fred ni mzima wa afyaWachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.
Antonio martial injury
Antony do Santos injury
Lisandro Martinez yellow card
Marcel sabitzer yellow card
Christian ericksen injury
Scott McTominay injury
Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
Sawa tumseme kwa game hiyo aliyozingua. Garnacho ana mguu mzuri wa mpira na ana confidence ya hatari huyu akizingua tumseme lakini next match aendelee kuwepo.Mchezaji akizungua game fulani ni lazima tuseme waziwazi..
Ndani ya dakika 20 ilitakiwa tuwe tumeshashinda hii game kama kungekuwa na mikakati sahihi kuhusu kikosi. Jinsi Leeds alivyotupeleka kipindi cha kwanza wapinzani wetu (hasa Barca) wanaangalia mechi na wanapata confidence kubwa sana.Kwa hiyo Sub alifanya nani na kupanga Weghorst akae nyuma ya Rashford 2nd half alikuwa nani, kocha lazima atajwe ni moja ya mbinu zake
Yule kocha alifanya technical changes wkt flani. Alimtaka Tyler Malasia aingie katikati kutokea nyuma kisaidiaa kiungo, yule tall akarudi nyuma kidogo rashford akapanda juu kulia, then akamtoa Tyler malasia akabadili mfumo .Mweupe mama yako. Yaani huo ushindi wa mwishoni baada ya sub tulizozililia ndio unamuona kocha wa maana! ze-dudu
Ila Martial mlaini sana aiseeUzuri mwingine pia Fred ni mzima wa afya
Kazi ipo asee dah fixtures ngumu majeruhi wengi asee hata tukiharibu kadhaa sitawalaumu wachezaji wetu mpaka sasa wamepambana sana pamoja na ratiba ngumu.Hii hatari angalau tukishinda 3 out of 4 itakuwa vema zaidi.View attachment 2515865
Mkuu soma tena hii commentCasemiro hatakuwepo mzee card yake ina fanya kazi kwenye mashindano ndani ya England tu.
Anakimbia kama roboti 😅😅Akiwa anakimbia ananifurahisha kweli
Kama yule jamaa wa temple run 😆
Wachezaji wetu ambao watakosa game dhidi ya Barcelona.
Antonio martial injury
Antony do Santos injury
Lisandro Martinez yellow card
Marcel sabitzer yellow card
Christian ericksen injury
Scott McTominay injury
Uzuri ni kwamba casemiro ni mzima wa afya.
Unyumbu, hesabu nyingi sana,, kama mko serious vile ila wakat wenu unakuja,Arsenal atapoteza mechi zote na Man City.