Kwa ule upigaji wa penati kwa wachezaji wa UNITED inaonyesha kuna mambo mawili:
1.Walikuwa wanafanya makusudi kwa ajili ya kumkomoa Mwalimu(MOYES) au
2.Ilikuwa ni moja ya strategy yao kukwepa fainali WIMBLEY kukutana na CITY

Baada ya kuwa na uhakika kabla ya jua kuzama siku ya ijumaa juan mata atakuwa shetani mwekundu wachezaji wamekuwa na ari kubwa leo huyu sunderland tutampiga nyingi sana, gooooners msikimbie kaeni hapo hapo..
Mkuu sikioni kitufe cha like, pamoja sana. Acha mashabiki wa matokeo wahame timu
hatuhami ng'ooo..we are forever united
Haya tumewapa Mata mshindwe kumtumia.
Tumewauzia J. Mata kwa M.37; tumenunua Mo Salah kwa M.11.
M.37- M.11 = faida M.26.
Chelsea; the Champions::boxing:
Na Nemanja Mati M.23 = Chenchi M.3
Bila kusahau tumeuza Kelvin De Bruyne kwa hela nzuri sana kule ujerumani.
Hii sio thread ya chelsea ni ya the red devils
Hii sio thread ya chelsea ni ya the red devils
hatuhami ng'ooo..we are forever united