Utopolo lakini ndie alietoa assist ya goli la kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujajua tu wewe...asingekuwepo Fred unadhani baada ya Casemiro kuumia nani angecheza hapo kati..kapambana sana katibua tibua sana ukiacha makosa madogo madogo. Yule Dalot ndio utopolo mtupu.
Kile Kitoto cha Leeds cheusi chenye matako makubwa kimemsumbua sana Dalot kilimgeuza uchochoro.Baada ya kuona tu Leeds wana kocha mpya nilijua tu ktk hizi mechi mbili kuna moja hawa jamaa watatusumbua na sikutegemea kama itakuwa ya Old Trafford.
Leeds ni mahasimu wetu na mechi wakiwa kwao natarajia ndiyo itakuwa ngumu zaidi hasa baada ya kupata hii droo.
Sio kwetu. Nyie mmeshikwa makalio kwenu.Timu mbovu ni Everton lakini iliwashikisha ukuta wa London Asenyani.
Sasa una mchezaji gani nje au hamjui timu yenu?10 Hag sijui hua anafikiriaga nini kumuanzisha Garnacho?
Huyu ni super sub wa uhakika ila akianza kweny 11st hua hana matokeo mazuri tunayo yategemea.
Ila hii timu hua inapenda kutusurprise sana kwenye mechi tusizo zitegemea.
Nyie hamfatilii timu yenu sasa ulitaka aanze na nani?Kocha kafeli sana kwenye first eleven.. yule dogo garnacho sio mchezaji wa kuanza mechi, anatakiwa aingie dk za 70 au 80...
Mechi ilkua nyeupe sn hii, wachezaji cjui ni uchovu walkua wanapoteza sn mipira kuwin second ball nayo ilkua changamoto
Malaya wa kimboka wewe[emoji23][emoji23]Namna gani tena wanangu Leeds wanajisahau hapa
Sancho hana match fitness mara ya mwisho sancho kucheza ni october unataka atoke huko sober house na kucheza?Mechi inayofata 10 Hag asipoanza na Sancho kwenye 11st sitamuelewa kabisa.
Lile goli tulilofungwa kabla ya dakika ya kwanza ndio linaweza kua goli la mapema zaidi Epl msimu huu 2022-2023.
Garnacho pamoja na talent aliyonayo kitu anachonikera ni kuwa mchoyo na siyo mara ya kwanza anafanya hivi. Mimi ni heri acheze mchezaji anayeonekana ana talent ya kawaida lakini anacheza kama timu.Kuna chance kilikuwa chenyewe na nyavu halafu kuna hiyo kilishindwa kutoa pass.
Kile kinapaswa kikaripiwe, ukiwa na Greenwood chances zote zile alishakupa point tatu.
Bring back Greenwood.
Angeanza Nani?Kocha kafeli sana kwenye first eleven.. yule dogo garnacho sio mchezaji wa kuanza mechi, anatakiwa aingie dk za 70 au 80...
Mechi ilkua nyeupe sn hii, wachezaji cjui ni uchovu walkua wanapoteza sn mipira kuwin second ball nayo ilkua changamoto
Ni bora tu aanze kivyohivyo hiyo fitness kama hakuipata mazoezini ataipatia humohumo dimbani kuliko kuanza na Garnacho.Sancho hana match fitness mara ya mwisho sancho kucheza ni october unataka atoke huko sober house na kucheza?
Haipo ivyo kwa timu yenye hadhi kama ya man U ni ngumu maana kila mchezaji anaesajiriwa kwa timu kama man u ni mzuri,,halafu ETH alishasema sancho hatomwaisha kuanza kucheza leo yenyeww kamwaisha kutokana na injuries za timu pamoja na kadi ya casemiroNi bora tu aanze kivyohivyo hiyo fitness kama hakuipata mazoezini ataipatia humohumo dimbani kuliko kuanza na Garnacho.
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwetu. Nyie mmeshikwa makalio kwenu.
Na mnaenda kurudiana nao mechi ijayo ghettoni kwao, lazima mtaacha mavi ukutani![emoji16]
Mabingwa watarajiwa hamjambooooooo?Garnacho pamoja na talent aliyonayo kitu anachonikera ni kuwa mchoyo na siyo mara ya kwanza anafanya hivi. Mimi ni heri acheze mchezaji anayeonekana ana talent ya kawaida lakini anacheza kama timu.
Sancho, Pellistri, Diallo, Martial ni wachezaji wazuri sana wanaocheza kama timu. Hata Greenwood kipindi anaanza kupata namba alikuwa na mambo hayahaya ila tofauti yake na Garnacho ana uwezo mkubwa wa kufunga. Sasa Garnacho anakaa na mali halafu hafungi.