Makidee haina haja ya matusi, humu tunataniana na kutambiana ili kunogosha tu ile ladha ya ushabiki.Wewe ni kumer
Yes, Guimaraes. Fanali ya Carabao atakuwa amemaliza adhabu yake ya michezo mitatu.Kwani Bruno ama adhabu??
Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.Manchester haiwezi kumsajili Osimhen kwanza bei yake tu ni kufuru.
Kama Napoli walimsajili kwa millioni 80 unadhani sasa hivi wanaweza kumwachia kwa pesa ndefu kiasi gani ?
Napoli hawawezi kumwachia chini 150-200.
Yani nyiee!!😂😂😂Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.
PSG wana Mbappe, City wana Halaand, Chelsea hawezi kufuzu UEFA msimu ujao - hivyo FFP itawabana kwenye usajili wa majira ya kiangazi. Madrid wanamlenga Bellingham lazima kibubu hapa kipasuke.
Tangu mugongwe na Everton mumeanza kuwa na adabu, jinga nyie.Yani nyiee!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nilale tu maana ya dunia mengi!
Aendelee kuomba Miungu yakeJamaa kasema tusubiriView attachment 2507593
Walicheza fainali wakapigwa 2 kwa 1 etoo sijui na nani yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kucheza fainali ya Uefa hata mara nihamie huko kwende kufanya nini?
Yaani Flano mimi niwe mshika ukuta wa London kweli?
Hebu Carrasco putin nitake radhi aisee.
Sawa mtabiri tumekusikia, tabiri basi leo mimi nakula nini mchanaWrite your reply... Manchester United mechi ambazo Casemiro atakuwepo uwanjani ( Barcelona na Newcastle) mtapoteza zote Ila zile ambazo hatakuwepo mtashinda.Mark my words.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Sawa mtabiri tumekusikia, tabiri basi leo mimi nakula nini mchana
Bado zinawezekana Arsenal anauwezekano wa kudrop point dhidi ya Man city, Liverpool na Chelsea.Zile hesabu zetu za ubingwa bado zinawezekana? [emoji1]
Kama Anthony , Mudryk na Enzo wameuzwa 100+ Osimhen wa Napoli hawezi kuuzwa chini ya 150 unless humjui boss wa Napoli.Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.
PSG wana Mbappe, City wana Halaand, Chelsea hawezi kufuzu UEFA msimu ujao - hivyo FFP itawabana kwenye usajili wa majira ya kiangazi. Madrid wanamlenga Bellingham lazima kibubu hapa kipasuke.
Amka ndotoni, unawanga mchanaWrite your reply... Manchester United mechi ambazo Casemiro atakuwepo uwanjani ( Barcelona na Newcastle) mtapoteza zote Ila zile ambazo hatakuwepo mtashinda.Mark my words.
May be kwa ChelseaBado zinawezekana Arsenal anauwezekano wa kudrop point dhidi ya Man city, Liverpool na Chelsea.
UtaliwaSawa mtabiri tumekusikia, tabiri basi leo mimi nakula nini mchana
Hivi nyie mpira mnaangalia kweli au hua mnasimuliwa na Ramadhani Simbaulanga?Bado zinawezekana Arsenal anauwezekano wa kudrop point dhidi ya Man city, Liverpool na Chelsea.
Wewe ndo unasimuliwa sasa huangalii Mimi nimeangalia sana game za Liva misimu iliopita na huu tuliopo kwakweli kusema Alison yupo kwenye kiwango ni kunajisi wanamichezo na wapenzi wa mpira....Kuanzia World cup alivuruga sana na sasa magoli anayofungwa mengne wala sio makosa ya beki lakini pia LUIS DIAZ ni mchezaji alieishape sana liva bahati mbaya injury znamwandama ila DIAZ alisaidia sanaaMay be kwa Chelsea
Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!
City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !
Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!
Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA