Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The Butcher ni mtu na nusu. Kikosi anachokifuma EtH ni bomu mpinzani akijaribu kulikumbatia analipuka nalo.

Hawa ndiyo aina ya wachezaji wanaostahili kuvaa jezi ya United.
kabisa mkuu.

nipende kusema huyu jamaa kwa jina la SABITZER kwa dakika chache alizocheza ukizingatia ni mgeni bila kusahau kaingia wakati timu inamhitaji niPende kusema Tumelamba Dume.
 
kabisa mkuu.

nipende kusema huyu jamaa kwa jina la SABITZER kwa dakika chache alizocheza ukizingatia ni mgeni bila kusahau kaingia wakati timu inamhitaji niPende kusema Tumelamba Dume.
Jamaa anaonekana atatufaa sana, muamuzi mbovu amempora assist yake leo. EtH kichwa kimetulia sana yule.

Hivi mna uhakika hakuna agenda dhidi ya timu yetu kweli? Maana haya maamuzi yananishangaza sana, sasa pale Sabi alifanya foul gani?
 
Blueprint of useless coaching [emoji1787]

#Joke[emoji1787]
 
Jamaa anaonekana atatufaa sana, muamuzi mbovu amempora assist yake leo. EtH kichwa kimetulia sana yule.

Hivi mna uhakika hakuna agenda dhidi ya timu yetu kweli? Maana haya maamuzi yananishangaza sana, sasa pale Sabi alifanya foul gani?
Nipo nacheck kwa mala nyingine
Your browser is not able to display this video.
 
No comment [emoji23]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
Your browser is not able to display this video.
 
Inaonekana unajua mpira kuliko Ten hag aliyemnunua na anayemchezesha kila siku, Kila kocha ana mbinu zake, na maelekezo aliyopewa Antony ni kulinda mpira, kutanua uwanja, na ku combine na wenzie nafac ikipatikana, na ndio maana unamuona anacheza vile na hauon akiwekwa benchi kwa kucheza vile
 
Sio kirahisi hivyo, kwa zile forward tulizonazo hakuna hata 1 anayefikia uwezo wa Greenwood kwenye finishing, Period
Tatizo hii issue haipo kwa Man U pekee yake , inahusu na wadhamini wa timu wanachukuliaje hili swala?
 
Nadhani zile namba muhimu kwenye kikosi tunahitaji wachezaji wawili wa uhakika. Midfield ni moja wapo.

Casemiro asipokuwepo kunakuwa na mtafutano sana uwanjani. Timu inaonekana imepwaya sana.

Tumtafute au kumtengeneza Casemiro mwingine. Anaweza asiwe 100% kama yeye ila akiwa uwanjani atapunguza madhara kwa kiasi kikubwa.

Sipati picha Casemiro akipata injury ya muda mrefu.
 
Tungekua hatujasajiri sijui ingekuwaje dah. Kama kuna kamkosi kameanza kutuandama.
 
Hawatudai tunakatana kwenye ile mia ya antony. Pesa ya kumchukua antony ilibidi ilipwe kwa martinez na ya martinez ilipwe kwa Anthony tukajichanganya hapo [emoji664]. [emoji3][emoji3]
 
kwnn ikfanywa sub anakuwa wakwanza yeye au werghost ajax na man timu mbili tofaut na ligi mbili tofauti pale tumepigwa kocha kabeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…