EtH harembi muandiko, ni mziki mnene tu. Huko Twitter kuna watu bado wanalalamika kwanini anaenda na strong line up akiwa na 3 goals, wanasahau hii ni football lolote linaweza tokea. Leo Nottingham hawana cha kupoteza.
Tukipata at least magoli 2 ndiyo tubadili kikosi.