Lwa hii timu inavocheza kwangu kama kocha hatobadilisha mentality ya mawinga wake hata aje benzema au lewandosky hawez kushine apa.. tuna winga zenye akili za kipumbavu, ubinafsi umewajaa...
Inanisikitisha sana watu wanapomueka rashford kundi moja na mbappe[emoji2365]