Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Weghost sio striker mbaya anahitaji muda, shida ni kwamba Manchester haiitaji muda inataka deliverer,inataka goalgeter.....

MANCHESTER UNITED inataka mtu a parform, naona ni muda sahihi wa HARRY KANE kutua Carrington..sababu ni striker anaekupa uhakika wa magoli kumi + kwa msimu, haijalishi majeraha yanayomuandama
 
Hata wakati Arsenal tupo hovyo hovyo hovyo kuna mechi tukishinda nilikua sizishangilii wala sizipost. Wanangu wa United naona wote wameweka status ushindi wa jana, hivi unaanzaje shangilia ushindi dhidi ya Nottingham? Imepanda daraja, ikakosa wadhamini maskini.

Yaani timu kama hiyo ilikua hainishtui kuifunga ila ilikua inanishtua ikinifunga
 
Daah siku hizi mna mdomo nyie ole wenu mlikose tutaanguaje kicheko
 
Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…