Haya matokeo Kuna watu humu walishuhudia wakiwa primary. Sasa wamemaliza chuo kikuu na wanafamilia zao. Hata hivyo siyo mbaya kujifariji na historiaSawa sisi watoto kwenu mkuu.View attachment 2492578
Kwani lini tumeacha kuwafunga mkuu?Haya matokeo Kuna watu humu walishuhudia wakiwa primary. Sasa wamemaliza chuo kikuu na wanafamilia zao. Hata hivyo siyo mbaya kujifariji na historia
Hamjaacha sana. Ungeweza kupost 3:1 ya msimu huu maana hiyo ndiyo imetuudhi pasipo mfano Kwa kuwa ndiyo mechi pekee tuliyopteza msimu huu.Kwani lini tumeacha kuwafunga mkuu?
Kwa ile mechi overall lazima man u mfurahie maana ilikuwa mpigwe nyingi,Mechi imeisha 3-2 mtu anakuambia manchester mbovu ivi huyu ana akili kweli....
Hayo ya kawaida sana kila tukutanapo na aseno sioni jipya siikumbuki tu ile game ila sanchez alikosa goli yeye na de gea tena baada ya piga nikupige mara tatuKwa ile mechi overall lazima man u mfurahie maana ilikuwa mpigwe nyingi,
Mmeingia box la Arsenal Mara 12 tu, goli 1 mmepata nje ya 18 kwa mistake ya Partey , goli la 2 mmepata kwa mistake ya Ramsdale
Saka peke yake kaingia box la man u Mara 13
Arsenal nzima waliingia box lenu mara 63 (nyingi zaidi kwenye EPL msimu huu)
Kuhusu kupelekewa moto, muda mwingi mlipelekewa
Hivo matokeo 3-2 ni mazuri kwenu ,
Kwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal nduguSamahani mkuu mpira ni burudani tu, sio busara kuwatusi wazazi wetu kwa mambo madogomadogo kama haya.
Mashabiki wa Man United tunajulikana dunia nzima kua ndio mashabiki wastaarabu na tunaojiheshimu kuliko mashabiki wa timu yoyote hapa ulimwenguni, haya mambo madogomadogo yasikufanye ukaonekana kama shabiki wa Arsenyani.
Braza, mbon hajalitaja chama letu hata kidogo, mim sijawahi kusikia team inayo itwa arsenyani,, au wewe unaijua hi team ya braza FlanoKwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal ndugu
Mpaka unawaona hawa jamaa wanajilinganisha na sisi ujue wanatamani kufika tulipo lakini hawawezi. Ni jambo linalowauma sana.Kwani umekosea team nyngne ya kutolea mfano mpka arsenal ndugu
This is too good to be true!!Man United are ready to cash in on both Harry Maguire and Scott McTominay, but not until the summer.
#AlexCrook
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2494143
Let's cash in fasta fasta..Man United are ready to cash in on both Harry Maguire and Scott McTominay, but not until the summer.
#AlexCrook
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2494143
Nategemea a very comfortable win here na kuingia fainali.Next: [emoji739] Nottingham F. (Jan 25)
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2494145
inatakiwa 3 kipindi cha kwanza tunamaliza na 2 kipindi cha Pili, nategemea Alejandro ataacha uchoyo usio na maana.Nategemea a very comfortable win here na kuingia fainali.