Sema nilitaman Kati tuwe solid zaidi angeanza tominay na Fred, then ericksen baadae,,,, wacha tuone
Anthony ule upande anasaidia Sana timu ikiwa imezidiwa, sio mvivu atapambana
Rashyy akomae aache uchoyo, pakutoa pasi anafosi kufunga ili sijui ili aweke rekodi !!!
Beki imesimama vzr, shaw anasaidia Sana kupandisha mashambulizi ule
upande!
AWB recently kiwango kimepanda, anakaba kwa akili kubwa, hapanic ovyo!