Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matchday..

GGMU.

Imagine being beaten up by Arsenal!!!...ni maumivu matupu.

Vijana wapambane.

======
My Starting XI
======

De Gea

AWB Varane Shaw Malacia

Fred Martinez Eriksen

Fernandes Rashford Garnacho

==============
@Darmian

1. Ina maana Martinez unamsogeza mbele kwenye kiungo? Sio beki tena?

2. Mpango mzuri lakini kocha anampenda sana Antony ataanza tu kwa namna yoyote badala ya Garnacho

3. Weghorst nadhani pia lazima aanze.
 
Yes Martinez nimemsogeza mbele..

Werghost speed hana na game ya leo ambayo hatutamiliki mpira itakuwa uongo yeye kuanza..Werghost atakuwa mzuri kwa lesser teams ambazo most of the time tutamiliki mpira.
 
Ni hapo Martinez atakapocheza kama CDM leo halafu apige show kali kuliko zile za Casemiro.
 
Ahhhh mkeka unaweka mwenyewe kw pesa yko mwenyew utapel utatoka wap wabongo ss ni wa mwiaho kabisa ni wa ovyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…