Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Tayari ameonyesha hilo ktk sajili zake alizofanya hkn muingereza hata mmoja
 
Harry Kane has set his sights on breaking the Premier League goalscoring record and is understood to prefer staying in England.

Tottenham are set to place a minimum £85m price tag on Harry Kane, but that figure is likely to increase for a rival Premier League side.


[ChrisWheeler]
#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Ila kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.
Huyu boyhood arsenal fan akisema anataka kuja kwetu matusi yote tuliyomtukana tumasahau na tunamkaribisha vizuri sana. Nyie mnampotezea?
 
Mashabiki wenzangu wote, wa chama kubwa duniani la Manchester united. Nipende kusema kesho ushindi ni lazma pale emirates.

Hivyo hao arsenyonyo, Kesho hata wapige pasi zao zote, hata ikiwezekana za kwenye ile movie ya kichina ya (shaulini soccer). Lakini hawata amini kitakacho watokea hapo kwao emirates, Sababu hawata pata hata ile nafasi ya ku draw na united.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…