Manchester United (Red Devils) | Special Thread

AWB ametuokoa tupate point 1.
Pamoja na kutuokoa leo alikua anapoteza mipira kifala sana, Rashidi nae leo sijui alikula maharage ya wapi?
Ten Hag kwa uzembe wake wa kuchelewa kumtoa Casemero amewarahisishia Arsenal game ya jumapili.
Mechi ya leo imeniuma sana kwa kweli ni bora ningelala zangu tu nikapata matokeo kesho asubuhi.
 
jamaa mchoyo sana
 
Cry more...!
 
Duh! Mbona maneno makali wazee?
Timu ilikosa fluidity kwani ETH alibadili mfumo kumuweka namba 27. Mpaka anatoka, timu ikawa haichezi vile inavyokuaga.

Kukosekana kwa Casemiro ni pigo, ila McFred watafanya yao, siyo mara ya kwanza. Acha hao Goons washangilie kukosekana kwa Casemiro; na wajiamini hivyo hivyo.

Tukutane Emirates Jumapili
GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…