Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpiraGame ya round ya Kwanza mliongea hivi hivi,,,,at the end kila mtu anajua kilichotokea !
Weekend sio mbaliIle game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Our main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Tutakuja kufukua haya makaburiOur main target ni 6 points from Asernal.Weekend hii tunaendeleza tulipoishia kwaiyo tutawapiga 3+ goal kama ngoma na kuchukua 3 points kwasababu 3 muhimu tulizonazo:
1. Uwezo ( Timu imeimarika na inastahili)
2. Nia (Kuirejesha heshima ya club iliyopotea)
3. Sababu (Kuchukua ubingwa msimu huu)
Hii thread ni tamu sana hadi shabiki wa arsenal muda mwingi yupo humu kuliko kwenye thread inayomuhusuTutakuja kufukua haya makaburi
Sisi hatukuwa na shida ya mpira tulikuwa na shida ya magoli tu na point tatu.Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Deep state 😁Mtumishi hewaView attachment 2486307
Uyu ni kama Maya wa UMUGHAKAMtumishi hewaView attachment 2486307
United mechi aliyoongoza kwa ball possession against big 6 ni ya Spurs tu nyingine zote opponents ndiyo wanakaa sana na mpira lakini kipigo kinakuwa kwao.Ile game tulikuja bila DM wetu wawili Elneny na Partey ,ikatulazimu acheze Lokonga ,lakini cha ajabu mlishindwa kabisa kukaa na mpira
Game hii mnakuja tukiwa full ,tena home , kazi mnayo
Mkuu, achana nae huyo mchambuzi na shabiki uchwala wa arsenyonyo, huyu baada ya kile kipigo cha bao 3 kwa 1, alipotea hiyo cku akaja na blah blah nyingi, sio hivyo tu vikianza vipigo mfululizo anajipiga burn.Weekend sio mbali
Halafu wamekariri team ya msimu uliopita waliyoifunga Emirates viungo walicheza Matic na McTomminayUnited mechi aliyoongoza kwa ball possession against big 6 ni ya Spurs tu nyingine zote opponents ndiyo wanakaa sana na mpira lakini kipigo kinakuwa kwao.
Kama kawaida yetu pasi 5 goli. Nyie Arsenal mnatamba sana kwasababu mmewafunga wachovu kama Spurs. Yale magoli ni moja tu la Captain ndiyo utahesabu kama kitu Arsenal walifanya kwenye ile mechi. 2nd half timu ilikatika mlipoteana sana na mlipelekewa moto.
Hii mechi mmeirahisisha sana lakini hamjui kitu mnachoenda kukutana nacho, nyie mnaamini atmosphere ya Emirates tu, pale tuna wachezaji wamecheza Camp Nou, wamecheza kwenye big stages unadhani Emirates ni sehemu utaweza kuwapoteza?
Jiulize, mnaenda kukutana na timu ya aina gani? Ni tofauti kabisa na ile iliyowapiga 3. Bora zaidi!