Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani kila kona watu wanatababasam leo ukiwauliza kwanini wote jibu lao ni moja tu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester united 3 vs man city 2

Time[emoji355]

9.30 mchana

Stadium[emoji909]

Old Trafford

Last match

Manchester city 6 vs Manchester united 3

DerbyDay[emoji173][emoji173]
GGMU[emoji83][emoji83]
 
Match day

Guys inabidi tuwe serious, recently form ya city sio ya kutisha Sana ! Hata game wanazoshinda unaona kabisa wanastrugle, derby Ni derby tu hawatokuja kinyonge!

Kama beki zao zinakatika Sana, wanajivunia midfield na fowards tu !

Why not ?? Hizi pointi tunazihitaji kuliko chochote kile !

Naamini ETh atakuja na mpango mkakati mzuri wa kuwathibiti hawa citizens

Huwa sizipendi Sana game za mapema jumamos !

We ready, let's go!

#GGMU
 
Haswaa lzm pale kati 2we na viungo punda wawili ili tubalance lkn tukisema tucheze nao km last game watatufunga
Ingawa sasa hivi Casemiro ameshazoea ligi ya Uingereza. Hivyo kuna unafuu kidogo hapo kati.
 
Naangalia mchezo wa Napoli v Juve, huyu chalii Victor Osimhen anastahili kuwa main priority majira ya kiangazi.

Mechi 14 goli 12 ktk Serie A msimu huu sio mchezo, miaka 24 tu.
Japo Serie A siyo ligi ngumu sana kama EPL ila Osimhen ni mchezaji mzuri pia.

Yupo vizuri kwenye maeneo mengi sana aerial quality ni kubwa, mikimbio yake perfect, hana uchoyo sana.
 
Japo Serie A siyo ligi ngumu sana kama EPL ila Osimhen ni mchezaji mzuri pia.

Yupo vizuri kwenye maeneo mengi sana aerial quality ni kubwa, mikimbio yake perfect, hana uchoyo sana.
Hiyo ligi ya serie A.
Marco anautovic na miaka yake 33 ana magoli 8 katika mechi 14, huyu jamaa tulishafikia hatua nzuri ya kumsajili lakini kashfa zake zikafelisha mpango huo.

Victor osimhen ana magoli 12 katika mechi 14.
 
Osimhen ana mengi mazuri uwanjani ile kiwango chake cha kujituma ni kizuri pia.

Pressing anayofanya na namna anavyofanya hold up play anafaa sana kuwa timu.

Japo kwa uelewano walionao Napoli Any striker would do wonders.

Napoli wamekusanya squad yenye wachezaji wenye uwezo wa kucheza mpira namna wanavyotembea uwanjani, utulivu wanapopata mpira, pasi za kueleweka kila kitu excellent.
 
Hiyo ligi ya serie A.
Marco anautovic na miaka yake 33 ana magoli 8 katika mechi 14, huyu jamaa tulishafikia hatua nzuri ya kumsajili lakini kashfa zake zikafelisha mpango huo.

Victor osimhen ana magoli 12 katika mechi 14.
Kama tulimtaka Mark Arnatovic ni heri tungemfikiria pia Alexander Mitrovic ni replica ya Arnautovic
 
Kuwafunga City tunatakiwa tuperfect mikimbio yetu kwenye transition.

Hatutakiwi kufanya mistakes kwenye breaks tunapokwenda kushambulia kwa kutoa sloppy passes.

Atleast tutumie vizuri early chances tunazopata.

Man city wanakuwa vizuri sana wide na kwenye defence yao ukiondoa Walker wanakuwa dhaifu kwenye fullbacks atleast tunaweza kuexploit maeneo hayo.
 
Napoli ndo timu inayocheza soka safi zaidi ulaya kwa sasa kwa maoni yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…