Source?DEAL DONE[emoji736] Man Utd have signed Wout Weghorst on loan from Burnley until the end of the season. Man Utd have paid Beşiktaş a €3M fee as the 30 year old was on loan there from Burnley[emoji460]️
Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?DEAL DONE[emoji736] Man Utd have signed Wout Weghorst on loan from Burnley until the end of the season. Man Utd have paid Beşiktaş a €3M fee as the 30 year old was on loan there from Burnley[emoji460]️
Kwa mkopo..Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?
Fabrizio RomanoSource?
Grealish hakuna kitu mule.. Ni vile tu kazaliwa Uingereza lakini kwa akili ya moira huenda chama akawa bora kwake.Kwa hii momentum timu ime-gain , city hawezi kutusumbua Sana ! Tukiweza kuwathibiti KDB na Bernado kazi imeisha,,,, haaland kule mbele atakosa malisho ataishia kuruka ruka tu !!! Fodeni pia Ni mchezaji mwingine wa kumuangalia !!!
Kwa miaka ya hivi karibuni nadhani msimu huu ndo city hawana beki nzuri ,,, rotation Sana au na majeruhi pia ?
Grealish Nini kimempata ? Hakuna anaemzungumzia, japo hapati Sana nafasi lakini Namba hazidanganyi , hata hizo chances chache hajaweza kuwa mwiba Kama alivyokuwa pale Villa Park !
Trust me bro!Source?
NdioHivi huyu kipa wa forest si alikuwa wa man u huyu!
Hiyo game naikumbuka, Fernandes alipoga faulo ya akili sana sikuile, ile game Tominay alikichafua balaa.Huwa anacheza vizuri vs City ndo maana nimemweka.
Ukiacha hiyo..kuna faulo moja Fernandes alimdokolea jamaa akatia kambani..bonge ya goli,na game hiyo tulishinda pia.
sio alikuwa, Ni kipa wa Man U.Hivi huyu kipa wa forest si alikuwa wa man u huyu!
Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?
Hahah..EtH avute simu kwa Ole ampe moja na mbili za kumkamata Pep.Hiyo game naikumbuka, Fernandes alipoga faulo ya akili sana sikuile, ile game Tominay alikichafua balaa.
Ila OLE alikuwa anammudu sana PEP, game nyingi sana tuliondoka na ushindi mbele ya City kipindi kile.
Mkuu sasa si yupo kule forest!sio alikuwa, Ni kipa wa Man U.
Wout Weghorst ukimuangalia kwa mbali aina yake ya uchezaji inafanana na Luis Suarez ila kiuhalisia yeye ni Benzema mtupu, kuna vitu Cavani alijifunza kwa mtu huyu na anaposhuka kiwango anacheza kama Lewandowsky.Wout François Maria Weghorst ni mchezaji ambaye hayuko hata kwenye first team ya championship club inayoitwa Burnley, na ninyi ndio mnamfanya replacement ya Cristiano Ronaldo. Mnamnunua kwa mil 3. Are you serious kweli au ndio strategy mpya baada ya kuwanunua wachezaji wa mil 100 wakashindwa kudeliver?
We Kenge kweli, yaani KDB wa 23 na huyo mzee wa miaka 30. Alipoondoka Kelvin darajani alikuwa bado anakua na miaka yake 23, Huyo wenu anapokuja hapo kwenye mbolea akiwa katundika miaka 30 ataendelea kukua!!Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??
Cheat Code ya Ole ilikuwa:- 1.kufunga goli la kwanza kisha unaclose spaces.Hahah..EtH avute simu kwa Ole ampe moja na mbili za kumkamata Pep.