Hiyo ndiyo aina ya wachezaji nawapenda kabla ya ku-shoot unaangalia kwanza: je, kuna mtu yupo position nzuri ya kufunga zaidi yangu? Kama jibu ni ndiyo, ni pasi moja tu unatoa.
Tukishakuwa na striker ukiwa na forward line ya RASHFORD.....ST(WEGHORST).....PELLISTRI unataka nini tena msimu huu.
Antony ana mambo mengi, Garnacho uchoyo mwingi ana tabia kama za Greenwood kila nafasi anataka afunge yeye kumu-impress kocha huku timu haifaidiki na uchoyo wake.