Yani kuna ile counter ameiharibu kifala sana..
Napata shaka kuamini kama huyu ndio yule Anthony tuliyekuwa tunamuona kwenye 'highlights'
Hamna cha gakpo huyu jamaa anatakiwa aelekezwe. Watu wanaotumia mguu wa kushoto wapo wengi tu na wanafanya kitu inaeleweka.hii winger ya antony angekuwepo Gakpo
Unaangalia mpira au unasikiliza kwenye redio???Anthony huyu aliyefunga goli ?
Fowards zetu butu, utoto mwingi amna mtu wa kufanya maamuz magumu wanaruka ruka tuu huyo antony mbwembwe nyingi mwisho watu wanachukua mali, akipiga pasi nying hazifikiVery sloppy tukufika maeneo ya hatari..na hii shida sio ya leo tu.
Sure.. au greenwoof asingeendekeza uchi tungekua tunainjoi tu apahii winger ya antony angekuwepo Gakpo
Kwa hiyo hiki ndio kikosi chake serious!!! 😆😆 Huyu kocha bhana, kwanza wachezaji wake aliowaleta wote wamefail...Anthony, Van de Beek, Malacia, Lisandro pekee ndio anaonekana mtu. Hawa kina Martial aachane nao mapema huwezi kuwa na mchezaji mvivu kiasi hiki, Rashford anapambana lenyewe linatembea tu.Ten Hag on tonight's #mufc XI: "We take every game and every competition seriously." [mutv]
10hag aliamua kuwapunguzia ajax mzigo kwa kumchukua
Napata shaka kuamini kama huyu ndio yule Anthony tuliyekuwa tunamuona kwenye 'highlights'
Alicheza winger wa kulia ?Wc alicheza mbna...
Naangalia mpiraUnaangalia mpira au unasikiliza kwenye redio???
Hivi yule Gray wa Everton Man U huwa hawamuoni. Tangu akiwa Leicester alikuwa [emoji91] balaaTumeshinda ila everton wamesumbua balaa
Akija timu mkubwa anakuwa Kimeo ghafla tuHivi yule Gray wa Everton Man U huwa hawamuoni. Tangu akiwa Leicester alikuwa [emoji91] balaa