Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi sioni kama Harry Kane anatufaa kwa sasa.
Namuona kama mchezaji wa msimu mmoja.

Japokuwa akiwa na impact kama ya RVP. Itapendeza.
 
Tuuze anthony pale tumepigwa,sehemu ya kutoa pasi yeye anapiga danadana
Nilichogundua Arsenyani hakuna mchezaji wa Man Utd wanaemuogopa na kumchukia kuliko Anthony.
Huyu Mbrazil kwa alichowafanya siku ile lazima nafsi zenu ziwaume kwa kweli, kuwadanganya anaingiza kichwa tu halafu akaishindilia yote halikua jambo la kiungwana hata kidogo.
Halafu mbaya zaidi baada ya kuwatia bao akawakejeli kwa hilo bao lake tayari kashawatia mimba na kuwang'ong'a juu.
 
Hichi sio kichaka Cha kujifichia ,toka awali tuliwaambia huyu kwa €100m mmepigwa

,Kufunga sio hoja, total performance yake ikoje

Wenzio humu wanakubali pale mmepigwa , wewe unatusingizia Arsenal fans

Tuliwaambia Sana humu Ni mchezaji wa kawaida tu ,akaja Paul Schoose akasema ,naye Ni Arsenal ?

Mkaja na kelele za Garanacho tukawaambia Ni average Bado msipige kelele , Sasa Hivi Kiko wapi?

Mmekuja Tena mnautaka ubingwa,
sawa kwa uchezaji upi? Nalo tutawakumbusha
 
 
Issue za pesa hazituumizi kichwa, kwanza kwa walichoifanyia hii club wale Glazers acha wa-spend tu pesa ambazo wame-generate mashabiki wenyewe.

Suala la value ya Antony sisi halituhusu. Kwasababu kocha kapata target yake lakini pia Antony ameongeza kitu kwenye squad yetu.

Antony bado ana room ya ku-improve na kufikia potential yake kulingana na umri alionao.
 
Sure pengine short term anaweza kuwa Ivan Toney wa Brentford au Alexander Mitrovic wa Fullham.

Hata Goncalo Ramos pia ni mzuri tu.
Sasa Goncalo Ramos awe ni short term?mtu aliyemkimbiza CR7 hahahaha una masihara ww,
 
Ten Hag on recalling Amad: "We consider everything. I see his potential, but when we decide for Amad Diallo to return he has to be a player for the starting eleven".
#MUFC

"I've a little bit of a reservation for that because I don’t want to stop his great progress on loan".

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…