Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martinelli
  1. maamuzi sahihi pindi anapokuwa na mpira ndio yaongoze kipaji chake.
  2. Ameshaathiriwa na mpira wa ulaya a.k.a. mpira wa kufundishwa ubaoni.
  3. Martinelli tayari ameshapevuka kimpira wa ushindani barani ulaya, kwa maana ana uwezo wa kufanya kazi na kocha yeyote
Antony
  1. Anaamini Kipaji chake ndio kiongoze maamuzi yake pindi anapokuwa na mpira.
  2. Ameathiriwa na mpira wa uswahilini kwao, nikiwa na maana chenga za maudhi, dribbling na vyenginevyo kwake ni jambo la kawaida haijalishi yupo phase ipi ya uwanja.
  3. Anahitaji kufunzwa zaidi ili aweze kubalanzisha kipaji na maamuzi sahihi kwa wakati mmoja mfano wa gaucho.
Mawazo ya mwanadamu anayeishi katika nchi inayotegemea umeme wa mvua za masika
 
Hahahaha [emoji1787][emoji23] Dah
 
Wacha kuota Mzee , kwahiyo unakata kusema kwa Anthony tumepigwa au?
Anthony anajua... Ila Gakpo anajua zaidi... Gakpo asipofunga anakupa assist za kutosha.. Hapo dawa mi naona wawepo wote tu then tuone nani atafaulu na nani atafeli.. Maana kumekuwa na shida sana kwa wachezaji wa uholanzi kutoboa uingereza. Ni wachache wamehamia uingereza wakatoboa
 
Sancho anashida gani wakuu?..

Amekuwa nje kwa muda mrefu na sasa hivi hata Spain hajaenda na timu badala yake anafanya training mwenyewe.
Match fitness Hana,,,,ako na program maalumu, ndio maana wamefanya decision asiende Spain abaki Manchester kuendelea kujiweka fit,,,, ! Kumbuka ametoka injury,,,,

Sacho
AWB
Williams.,,, Bado hawajawa fit kiviiile !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…