Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mliokuwa mnalalamika kwanini Degea hajaitwa SPAIN mtakuwa mmeona jinsi Unai Simon anavyocheza
 
Wanaolalamika sio kwamba wana Mcompare De gea na Unai, bali De gea hayupo kwenye kikosi cha watu 55 na kuna makipa wa 5 mbele yake.
Bado wale makipa watano , footwork zao Ni nzuri Sana kuzidi De gea, angalia Unai simon, Robert Sanchez, Hata Kepa Arizabalaga , now Chelsea wanatajwa kutaka kumuacha Mendy,

Ukiona jinsi Unai simon alivyokuwa anarudishiwa mipira mita chache tu, na Hana presha , unaona kabisa ile Spain ,Degea haimfai
 
Moja ya mashabik wa man u mwenye habari za ndani kabisa ,umeelezea vizuri Sana hili swala la man u kuwekwa sokoni ,Kuna mashabiki hawataki ukweli, Kuna wanaoamini Apple wanaitaka man u ,

Mwisho wa siku Grazzer Family watawauzia wamarekani wenzao nao wachote pesa ....
 
Makocha wengi mould za Barcelona hawana Plan B thats why De gea hayumo.

Na unai jana alimpasia Gnabry sema tu akatoa nje, ni sweeper mzuri ila sio kivile.
 
Hivi musiala alikataliwa Chelsea au arsenal ??

dah Bayern wamelamba dume! Dogo Ni pure talent,, ! Ndo kwanza yupo under 25, Bado ana mengi ya kujifunza na ku-prove !
 
Under 20. Alikuwa academy ya Chelsea. Sema Chelsea ni kawaida yao tu.
Hatari Sana mkuu ,,, !

Kuna huyu mwamba sergej mil-savic nilikuwa sijawahi kumtazama vizuri kule Italy,,, kwenye hizi mechi mbili za WC ndio nimemtizama kwa ukaribu zaidi ,,, anajua Sana aisee top top talent !

Timu kubwa hazimuoni ? Ama lazio wanammbania !
 
Lazio pia timu kubwa mkuu, kama Spurs vile ligi ya uingereza. Ana bei ndefu sana kwa timu zinazomhitaji kama unavyoona Harry kane.
 
£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.

Kila msimu huwa tunahusishwa nae.
 
£100m..Napoli na Lazio hawatakagi masihara.

Kila msimu huwa tunahusishwa nae.
Bei ziko juu Ni Kama Levy anavyommbania kane,,, umri unakimbia anaanza kuchoka hajashinda chochote na maana, same kwa delcan rice na westham, hawamwachii kirahisi angalia hata addition walizofanya (pacueta + scammacca ) wanaonekana kuwa serious na project yao !
 
Good luck to the FIFA official who has to go into the changing room to tell Cristiano Ronaldo he hasn't scored that. Bruno Fernandes has been credited with it. (BBC)

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji1054] Casemiro played 90 minutes, Fred played 58 minutes, Antony played 15 minutes & Telles played 5 minutes as #[emoji1054] won 1-0 against [emoji1237].

Casemiro scored the goal.

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Casemiro’s game by numbers vs. Switzerland:

85% pass accuracy
61 touches
41 passes completed
4 interception
2/3 long balls completed
1 goal

General. 🫡

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…