Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi niliumia sana ile game ya Spurs..Tulipiga mpira mkubwa sana..lakini badala ya kusubiri mpira uishe hata awapongeze vijana yeye akaondoka kabla ya mpira kuisha..Hili linaonyesha how selfish he is.

Sidhani kama kuna Shabiki wa United mwenye akili timamu ata-side na Ronaldo.
 
Manchester United's prep for the season, formative months of Erik ten Hag's reign, the new culture being created, their most complete display (v Spurs) in ages, the high of a future star scoring a late winner, the collective... all undercut by Cristiano Ronaldo. That's betrayal......
 
Team Ronaldo tupo
 
Van Gaal: "United is a commercial club"

Di Maria: "They signed me to sell shirts"

Ibrahimovic: "The structure is so old school" i found a small mentality

Mourinho: "You don't know what happen behind the scene" becoming second with United is my best achievement"

Sanchez "I asked my agent to get me back to Arsenal after the first training"

Bailly " They should stop playing the English guys and give everyone a chance"

Raf " United needs to change the whole structure" They need more facilities"

You may hate Ronaldo's act but you should understand his concerns.

Ronaldo should move on but the fans should also not be stupid. We should open our eyes and stand against the ownership they are the cause of all the problems.
 
Ni kwel kwenye uongozi kuna shida , hakuna asiejua,,,,

Ronaldo kaongea upupu Sana eti hamueshimu mwalimu,,,,

Alafu amevizia hakuna match hivi karibuni watu wanaenda world cup ndo akaongea ,,,,

Kingine anataka kutafuta huruma na support kwa Mashabiki waone kwamba ameonewa, mchezaji mkubwa wa caliber yake anakuwaje na vituko Namna hii,,, watoto/vijana Kama kina Alejandro/Anthony wanajifunza Nini toka kwake ?

Ni muendawazimu pekee ndiye atakaekuwa upande wake na kumtetea ,,,

Alianzia ujinga wake pre season, akaja Kuna match moja sikumbuki alitoka kabla muda , akaja ya Spurs, juzi aaambiwa match na Fulham hatoanza lakini atakuwa sehemu ya kikosi, yeye akadanganya anajisikia vibaya kwa hio hakusafiri na wenzie kwenda London,,,

Umri umemtupa, hawezi kufanya alichokuwa anafanya akiwa 20's ama early 30's ,!

Mwisho wa siku hakuna mchezaji aliemkubwa kuliko club never,,,, ! Watakuja wengi na wataondoka, that's all

Timu ipo Salama na kwenye right direction chini ya ETH, apewe muda aweke ideas zake pia apate players anaowahitaji, sio kitu Cha siku moja ,,,msimu huu hatuna Cha kupigania tushinde,,, sana sana tunahitaji kushiriki UEFA mwakani

Chief-Mkwawa Anahesabika Kama legend ? Kwangu Ni Big No, kaiexpose Sana club na dharau kwa mwalimu
 
Anakuja hap
 
Man u ina matatizo na watu hawataki kuambiwa ukweli
Mwisho wa cku CR7 kasema ukweli ili timu ipone matokeo yake watu wanamshambulia CR 7
Cjui vichwan mwa watu kuna nn? Mtu anajifanya kuijua man u kuliko CR7 mwenyewe
Amesema sawa ni vizuri: Kwanini anasema muda huu ambao yeye mwenyewe hafanyi vizuri kwa nafasi yake?

Ameonesha tabia mbaya zisizofaa kwa wachezaji wenzake hususani kumsema namna ile mwalimu wa timu.
 
Amesema sawa ni vizuri: Kwanini anasema muda huu ambao yeye mwenyewe hafanyi vizuri kwa nafasi yake?

Ameonesha tabia mbaya zisizofaa kwa wachezaji wenzake hususani kumsema namna ile mwalimu wa timu.
Unadhan kuna mtu anaweza kutoboa jipu kama alivyofanya yeye??? Hana cha kupoteza na mwalimu amuheshim C7 mwalimu wa daraja la chini
 
Ronaldo yupo sahihi, toka alipoondoka Ferguson timu haileweki inataka nini, walishayasema Van gaal na Mourinho alichofanya CR7 ni kukazia tu. Timu inahitaji mabadiliko makubwa sana.
 
Nyie watu mnalalama tu bila sababu mmeshindwa jiuliza ni kwanini CR7 amefanya hiyo Interview hasa kipindi hichi tunaelekea kwenye michuano ya kombe la dunia, pia kuna dirisha la usajili hapo Januari. Ni wazi kuwa CR7 yuko tayari kwa lolote lile na inaonekana kaisha pata timu ya kwenda.
 
Cristiano Ronaldo: "Hatuna kocha mi nawambia, siku moja ametukalisha chini na kuanza kutuambia kuwa hana marinda"
 
Cristiano Ronaldo: "Huyo kocha inapaswa aelewe kuwa mimi ni mkubwa kuliko yeye hivyo aniheshimu sana, ndio maana leo hii madogo wengi wako upande wangu maana kila wakifunga wanapiga ile staili yangu mpya ya ushangiliaji"
 
Sidhani kama kuna timu yo yote itakayokuwa kumchukua mtu anayejiona wa maana kuliko wenzake wote, na hata kuliko kocha.

Labda Sporting Lisbon alikoanzia!
 
Cristiano Ronaldo: "Kuna siku nimevamiwa na wauaji ila Mwenyezi Mungu akasaidia hawakufanya chochote baada ya kuwabana wale wauaji wakasema wametumwa na kocha eti waje waniue"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…