Mkuu kiwango cha Fernandez tumeanza kukilalamikia kabla hata ya ujio wa Eriksen.Sasa boss, unataka kusema Bruno hajui ama? Nimesema kuja kwa Eriksen kumemaliza kiwango cha Bruno? Eriksen kapunguza kuonekana kwa Bruno. Cheki stats hizi, na hapa wote wana games sawa 13 za EPL.
View attachment 2415912
Hizi ni za League cup:
View attachment 2415914
Hizi ni za Europa:
View attachment 2415915
Sasa hapo huoni jinsi Eriksen alicholeta kwenye timu, ambacho Bruno alikuwa akifanya?
As long as wote wanachangia kwenye timu, kama shabiki unataka ni zaidi?
Hao watu wanaosema Ronaldo kammaliza Bruno wanatumia stats zipi?
Sasa hayo ya sifa na wanawake siyo ya kisoka, ni yako tu.
Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujueKitendo cha PENDU kumsema vibaya ETH
Naona january asepe tu ETH kamvumilia sana alikataa kuingia sub dhid ya spurs
Akapewa ukapteni bado mpira wake mbovu juzi dhid ya villa tukafungwa 3 yeye akuwepo ndani bila msaada sasa naelewa kwanini florentino perez aliuza hii flop kwa juve
Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujue
Full interview itatueleza Kwa nn alizingua kuingia sub , kaa Kwa kutuliaKitendo cha PENDU kumsema vibaya ETH
Naona january asepe tu ETH kamvumilia sana alikataa kuingia sub dhid ya spurs
Akapewa ukapteni bado mpira wake mbovu juzi dhid ya villa tukafungwa 3 yeye akuwepo ndani bila msaada sasa naelewa kwanini florentino perez aliuza hii flop kwa juve
Achaga ufala na wewe,kila zama zinaexpire,ingekua ivo mpaka sasa wakina Pele na Maradona wangekua wanacheza,Ronaldo muda wake umeisha mguuni anaforce tu sympath kwa mashabiki,ila muda ndo umeisha..Unafikiri Ronaldo Anajali?Ronaldo ni GOAT hapo kwa Manchester United unahisi nani kaipa mafanikio kati ya hao wawili?huyo ETH atapigwa kama ngoma na Barcelona na EPL top 4 hatagusa and mind you Ronaldo ndio last player toka EPL kuleta Ballon D'or hapo ujue
That's why nimesema Ronaldo hajali hilo kawasha moto ndani kunaungua dunia nzima inasubiri interview kesho wewe ukiwemoAchaga ufala na wewe,kila zama zinaexpire,ingekua ivo mpaka sasa wakina Pele na Maradona wangekua wanacheza,Ronaldo muda wake umeisha mguuni anaforce tu sympath kwa mashabiki,ila muda ndo umeisha..
Infact huko kupigwa kwetu kama ngoma ndo tunapenda,kama Liva na klop wake walivokua wanapigwa.
Itoke mara ngapi? Anajua january hatopata timu kwa pride yake na hata kabla ya msimu uliopita kuisha alikuwa anatafta timu nyingne zote zilimkataaFull interview itatueleza Kwa nn alizingua kuingia sub , kaa Kwa kutulia
Tatizo hakuna timu inayomhitaji dunia nzima kapanick,japo kuna mambo kiuongozi kaongea ukweli....That's why nimesema Ronaldo hajali hilo kawasha moto ndani kunaungua dunia nzima inasubiri interview kesho wewe ukiwemo