Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Kwa hii safu ya ushambuliaji hawataboiHatuna cha kuogopa mkuu,,, Barcelona sio wazuri kiiivo, enzi za kina xavi iniesta na Messi sio hizi za kina eric Garcia, ,,, Barcelona wanafungika vzr Sana , tusipokuwa na majeruhi wa key players naamini tunatoboa !
Ukuta wa Barcelona umejaa matobo, !!!! Striking force yao ndio kidogo nzuri !
Katika timu zote hizo wakicheza na man utd wangeshinda tuHatuna bahati, kwa miaka ya karibuni kila draw lazima tukutane na giant au timu ambayo ipo form na sisi tia maji tia maji tu.
Team za Spain hazijawahi kutuacha salama. Yani vibonde wote wale lakini bado imetokea tupo na Barca.
Uzuri timu yetu tunaijua, mimi matokeo yoyote sawa tu.Hatuna cha kuogopa mkuu,,, Barcelona sio wazuri kiiivo, enzi za kina xavi iniesta na Messi sio hizi za kina eric Garcia, ,,, Barcelona wanafungika vzr Sana , tusipokuwa na majeruhi wa key players naamini tunatoboa !
Ukuta wa Barcelona umejaa matobo, !!!! Striking force yao ndio kidogo nzuri !
Cheki ulivyo mjinga.Mpaka siku united mtakapofahamu kwamba kusajili sio sawasawa na kuwa na timu bora ndio mtakapoamka usingizini. Kinyume na hapo mtalia siku zote na kufukuza makocha.
Hapa umeandika ujinga gani? Pep alivyofika man city alisajili wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wake na wala hakutumia fedha kwa pupa.Cheki ulivyo mjinga.
Angalia Pep alichofanya na Man City.
NIMESIKILIZA MAHOJIANO YA ETH BAADA YA MECHI AMEWALAUMU SANA WACHEZAJI WAKE KWA KUTOMPATIA RONALDO KROSI ZA MAANA...AMEWALAUMU SANA SANA, NA INAONESHA RON ATAANZA KILA MECHI. ANA IMANI NAE SANA.Timu yetu akicheza Ronaldo tunakuwa hovyo kuzidi..
By January atimuliwe..tuingie sokoni kutafuta namba tisa.
So it will be Lewandoski Vs MaguireMagwaya ndani ya Camp Nou
Lisandro Martínez will miss the first leg of #mufc's Europa League play-off tie against Barcelona through suspension
Ipo wazi Mbona ,Ni zimekaa kibiashara , Man u vs Barca wameona wapige pesa mapema kabisa, asije mmoja akatolewaIla hawa UEFA siyo wa kuwaamini kabisa, hii draw ni ya mchongo si mnakumbuka msimu uliopita walitengeneza mazingira Ronaldo na Messi wakutane!
Hata hii ya Barca na United imekaa kibiashara maana ndiyo timu zinazoongelewa sana Europa na mashabiki wengi walitamani hii draw. Hata Madrid na Liverpool ni mchongo tu maana ni mechi ina ka-uhasama ndani yake. Bayern na PSG pia mchongo tu walishakutana fainali, wanajua kwenye draw ndiyo njia pekee ya kutengeneza mechi za pesa.
Pesa imekuja kuharibu sana mpira.Ipo wazi Mbona ,Ni zimekaa kibiashara , Man u vs Barca wameona wapige pesa mapema kabisa, asije mmoja akatolewa
Huyu ni Arsenyoko alie asi chama lake.Wewe timu gan
Arsenal hatuna mshabiki wa ovyo Kama Huyo jamaa ,Huyo Ni manyua aliyewakimbia Baada ya ups and downsHuyu ni Arsenyoko alie asi chama lake.
Sasa hivi ameamua kutofungamana na upande wowote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila huyu mwamba anaishi maisha ya raha sana, yupo kwenye free stress zone.
Nimekuwa nikiongea na wadau wangu wa soka kuhusu hizi draw kuwa zinapangwa wakawa wanabisha,ila huwa kuna mazingira ya kibiashara yanatengenezwa.Ila hawa UEFA siyo wa kuwaamini kabisa, hii draw ni ya mchongo si mnakumbuka msimu uliopita walitengeneza mazingira Ronaldo na Messi wakutane!
Hata hii ya Barca na United imekaa kibiashara maana ndiyo timu zinazoongelewa sana Europa na mashabiki wengi walitamani hii draw. Hata Madrid na Liverpool ni mchongo tu maana ni mechi ina ka-uhasama ndani yake. Bayern na PSG pia mchongo tu walishakutana fainali, wanajua kwenye draw ndiyo njia pekee ya kutengeneza mechi za pesa.
Kwa Europa ,game ya kuingiza pesa ndefu Ni ya man u vs Barcelona , kila mdau wa soka alijua lazima wakutanishwe tu,Nimekuwa nikiongea na wadau wangu wa soka kuhusu hizi draw kuwa zinapangwa wakawa wanabisha,ila huwa kuna mazingira ya kibiashara yanatengenezwa.
Kumbuka chelsea ya Mourinho dhidi ya barca ya Pep walikuwa kila hatua wanakutana,Arsenal na Barcelona hadi Wenger akapiga kelele ndio kuachiwa,Arsenal dhidi ya Bayern nayo ilifululiza sana. Sasa kuna mfululizo wa Liverpool dhidi ya Madrid.
Hili la man utd dhidi ya Barcelona endapo dili la De Jong halitapoa,basi kutakuwa na mfululizo wa hii combination hadi tutachoka.
Nyie failed shark wa champion league mnabonga Sana , Kwa taarifa yako ni kuwa Europa League kamwe haiwez twaliwa na loosers champion leagueKwa Europa ,game ya kuingiza pesa ndefu Ni ya man u vs Barcelona , kila mdau wa soka alijua lazima wakutanishwe tu,
Niamini anayepita hapo anaenda kucheza fainal na Arsenal au Juventus
Kuna mech ya Nusu fainal Europa itakuwa Kati ya Juve na Arsenal , na mshindi wa Man u vs Barcelona atakutanishwa na Ajax
OkNyie failed shark wa champion league mnabonga Sana , Kwa taarifa yako ni kuwa Europa League kamwe haiwez twaliwa na loosers champion league