Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hayo makosa huwa anayafanya kwa kurudia rudia, yeye na magwaya
 
Nilivyoona tu kikosi nilijua kitachotokea sijui kwanini kocha kamuacha fred nje dhidi ya DVB.

Ok next game aston villa wanakuja OT Alhamis tutajua wametuotea au mbinu hatuna.
 
Bora hata Chelsea wamecheza mpira wa kiume ila nyumbu walikua wanaonyesha unyumbu wao kwa dakika zote 95.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakuona umetype kwa uchungu sana.

Good ebening
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…